Trump pia anapanga kutekeleza tena sera yake ya "Baki Mexico" ambayo inawataka wanaotafuta hifadhi kusubiri Mexico wakati ...
Uchaguzi utafanyikia jijini Dodoma kwa lengo la kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Kornel Magembe aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa ...
Ndege isiyo na rubani ya Shahed ya Urusi ilimuua mtoto wa miaka 14 kitandani mwake, katika chumba chake huko Kyiv, mwezi uliopita.
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Awesu Awesu amemtaja Maxi Nzengeli wa Yanga ni mchezaji mzalendo ndani ya timu yake ambaye ...
Uchaguzi mkuu wa Botswana umefanyika Jumatano Oktoba 30, 2024 ambapo wananchi walipiga kura kuamua muundo wa Bunge la 13 la ...
Ni mtu asiyeweza kusahaulika katika historia ya vita vya ukombozi vya Algeria na katika maendeleo ya soka la nchi hiyo. Baada ...
HAKIMU Mkazi Mkuu Aaron Lyamuya wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam amekataa kujitoa kusikiliza kesi ya tuhuma ...
Nchini Marekani, rais mteule Donald Trump anajiandaa kuteua kikosi chake kuelekea kuapishwa kwake tarehe 20 mwezi Januari ...
Maia Sandu anabaki na kiti chake kama rais wa Moldova. Amechaguliwa tena siku ya Jumapili, Novemba 3 dhidi ya mpinzani wake ...
MCHAKATO wa kuchukua na kurejesha fomu za kuomba uongozi katika uchaguzi wa serikali za mitaa, umemalizika ukiwa umeacha ...
Waziri Mkuu wa Japani Ishiba Shigeru ameomba msamaha kwa wabunge wa chama chake cha Liberal Democratic, LDP kufuatia matokeo ...
Wizara ya Mambo ya Nje ya China iliitikia vikali, ikidokeza uwezekano wa kuchukua hatua za kukabiliana na hilo. Mwezi Juni, ...