Lilikuwa tukio la kushangaza na kusisimua mwili. Mnyama wa majini mwenye vichwa vingi kwa jina hydra aliyewaogpesha watu wengi alijitokeza mbele ya Heracles-mwana wa mungu wa Ugiriki Zeus.
Wanasayansi wamegundua mnyama mzito zaidi kuwahi kutokea kwenye Sayari ya Dunia. Ni nyangumi wa zamani, aliyetoweka kwa muda mrefu ambaye ana uzani wa karibu tani 200. Mifupa ya kiumbe huyo ...