Huyo ni mmoja kati ya vijana wengi ambao wamehitimu viwango mbalimbali vya elimu nchini Tanzania na hawajapata ajira. Kwa mujibu wa Profesa Kitila Mkumbo ambaye ni mbunge wa jimbo la Ubungo jijini ...
Migogoro inayoendelea kote Afrika Magharibi na Kati imevuruga elimu ya watoto wapatao milioni 2.8, kulingana na ripoti ya hivi majuzi ya Umoja wa Mataifa. Idadi ya watoto wasiokwenda shule ni ...