Kuna mjadala mgumu kuhusu iwapo aina yoyote ya taswira ya Mtume Muhammad, hata ile inayoheshimika zaidi, imeharamishwa katika Uislamu.Kwa Waislamu wengi, ni jambo lisilo na shaka; hairuhusiwi ...
Kuna msemo unaoelezea kwamba nyuma ya kila mwanamume aliyefanikiwa kuna mwanamke pia aliyefanikiwa. Ni msemo uliomkumba mtume Muhammad. Mtume huyo aliyesifika kwa kueneza Uislamu alifunga ndoa na ...