Mwanafunzi wa Kitanzania aliyefariki Marekani wiki iliyopita, Allen Buberwa amezikwa leo baada ya mwili wake kurudishwa Tanzania jana Jumatano. Buberwa alifariki baada ya kuteleza na kutumbukia ...