Leo Jumamosi, Mei 8, mechi ya soka ya watani wa jadi Tanzania, Simba na Yanga itachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam ikiwa ni ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania msimu huu ...
Simba imemaliza unyonge dhidi ya Yanga kwa mwaka huu baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam uliochezwa kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika ...