Ni majira ya mvua ya masika katika maeneo mbali mbali nchini Kenya na kwa kawaida wakenya wengi huzingatia mvua kuwa Baraka. Lakini mwaka huu mvua imekuja na kero la mafuriko. Maeneo mengi ya ...
Taifa la Uholanzi lenye uhaba wa ardhi lakini watu wengi, mahitaji ya nyumba hizo yanaongezeka. Na watu wengi wanapotazamia kujenga juu ya maji , maafisa wanaporesha sheria ili kurahisisha ujenzi ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, UN Antonio Guterres ametoa wito wa kusitisha kabisa mara moja shughuli zote za makazi kwenye Eneo Linalokaliwa la Palestina.