Ali Kiba ni miongoni mwa wasanii maarufu sana kutoka Tanzania ambaye amewika si nchini humo tu bali Afrika Mashariki na nje ya mipaka ya Afrika. Msanii huyo ambaye amewahi kuimba na wasanii ...