Mtoto mchanga, Antidius Avitus (miezi minne) amekutwa amefariki dunia na baadhi ya viungo vya mkono wake vikiwa vimenyofolewa ...
Uanzishaji wa viwanda vya kurejeleza vyuma na kutengeneza bidhaa mbalimbali zikiwamo nondo, umeongeza mahitaji ya chuma ...
Wataalamu wa saikolojia tiba wamesema ongezeko la matukio ya kuua, kujiua na changamoto ya afya ya akili miongoni mwa wanaume ...
Abiria 14 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Classic linalofanya safari zake kati ya Kigoma na Dodoma kugonga treni ya ...
Unguja. Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud amesema wanawake wanapaswa kuwa mstari wa mbele kupigania ...
Dar es Salaam. Wingu zito limeendelea kufunika hatua za ukamilishwaji wa mradi wa machinjio ya kisasa ya Vingunguti, ulioanza ...
Mfanyabiashara na mkazi wa Mji mdogo wa Tunduma, Ombeni Sanga (30) anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuendesha gari kwa ...
Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi Makosa ya Jinai Zanzibar, Zubeir Chembera inaeleza kuwa, watu hao wamefariki dunia baada ya ...
Katibu Mkuu Tamisemi, Adolf Ndunguru ambaye amesema ofisi zikifungwa changamoto inatakiwa kutatuliwa ndani ya mfumo wa uchaguzi (ngazi ya juu) na kutoa majibu.
Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga, imemhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa Lameck Mpembe, mkazi wa kijiji cha Namansi, Wilaya ...
Uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka 2019 unaonyesha kuwa asilimia 85 ya wagombea walichaguliwa moja kwa moja na wananchi.