Mkuu wa Kitengo cha Biashara na Ushirika kutoka CBT, Yahya Kiyabo alisema lengo uwkezaji katika ushirika ni kuhakikisha wanabadili kilimo kutoka katika kilimo cha mazoea na kulima kisasa. Alisema ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo ya Malawi na Mfuko wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi limeanza kugawa malipo ya bima ya ...
Wakimbizi wanapata huduma za msingi kama vile hata ardhi ya kulima na kufugia mifugo ili kujipatia kipato. Ingawa hivyo ukata unatishia huduma kama alivyojionea mwenye Fillipo Grandi, Kamishna Mkuu wa ...
Kwa nyakati tofauti wamesema wanaishi maisha magumu kutokana na kukosa maeneo ya kuendeleza shughuli zao za uzalishaji mali. Hata hivyo, wakati wakieleza athari wanazopata kwa kukosa eneo la kulima ...
"Mkulima anapaswa kulima kwenye maeneo yake, na mfugaji afuge kwenye maeneo yake," amesisitiza Mkuu huyo wa Wilaya. Mwananchi wa kijiji cha Lunguza, Alen Shemmela amesema mgogoro huo ni wa muda mrefu ...