Dagaa, ni chakula maarufu duniani, kwa ukanda wa afrika Mashariki ni kitoeo maarufu na mara nyingi kutumiwa kama mboga ya kula na wali ama ugali. Kuna aina nyingi za dagaa, kuanzia wanaotoka ...
Mashuka yenye urembo wa maua ya kushonwa na rangi za kuvutia yameninginizwa pembezoni mwa barabara na nje ya nyumba kama uzio, ni ishara inayoweza kukujulisha kuwa umefika Kigoma. Ni katika mji ...