makala ya muda Wilaya za Tanzania 4 ina maandalizi ya vigezo vipya. Majina ya kata zote zimo! Mikoa ya Tanzania imegawanyika katika wilaya zinazoongozwa ...
WANANCHI wa Mkoa Kigoma wanatarajia kupokea mitungi 19,530 ya gesi safi ya kupikia ikiwa ni sehemu ... ya nishati safi inavyoweza kudhibiti matumizi ya kuni na mkaa ambavyo vimekuwa na athari kubwa ...
Mratibu wa Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Uchumi (HEET),Profesa Erasto Mbugi amesema kuwa ujenzi wa kampasi ya Kigoma unapaswa kukamilika Juni 2026. Profesa Mbugi amesema kuwa ujenzi huo ...
STRAIKA wa kimataifa kutoka Uganda, Steven Mukwala, aliwapa furaha wanachama na mashabiki wa Simba, alipofunga bao pekee dakika za majeruhi dhidi ya Mashujaa FC katika mchezo mgumu wa Ligi Kuu ...
TBT imetawazwa mabingwa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Kigoma, baada ya kuifunga Wavuja jasho kwa pointi 62-61, katika fainali ya tano iliyofanyika Uwanja wa Lake Side. Fainali hiyo ilichezwa kwa timu kucheza ...