NI simulizi ngumu zilizojaa mateso kwa wanawake wenye tatizo la uvimbe kwenye kizazi (fibroids), wapo ambao wamefanyiwa upasuaji zaidi ya mara tatu lakini tatizo limerejea upya na wengine huishia kuwa ...
Umoja wa Afrika unashiriki kwa mara ya kwanza katika mkutano huo kama mwanachama baada ya kukubaliwa Septemba 2023. Kualikwa kwa Rais wa Tanzania Samia ni heshima kwa taifa kupata fursa hiyo ambayo ...