Vyombo vya majini vya Urusi vinaonekana vimeondoka kwa muda katika bandari yao kuu nchini Syria, picha za satelaiti zilizokaguliwa na BBC Verify zinaonyesha hilo, huku kukiwa na sintofahamu kuhusu ...
Wanawake Siku 16 za uanaharakati wa kupinga ukatili dhidi ya wanawake zikiendelea kote dunianiwadau mbalimbali katika makaazi ya wakimbizi ya Kyangwlai nchini Uganda pia wanakabiliana na changamoto ...
Bashar al-Assad ameingia kwenye orodha ya viongozi mashuhuri wa nchi za Kiarabu waliopinduliwa tangu kuanza kwa maandamano katika nchi za kiarabu yapata mwongo mmoja nyuma. Hadi mwisho wa 2010 ...
Visiwa vya Mayotte vitawekwa kwenye tahadhari nyekundu kufuatia kimbunga siku ya Ijumaa saa 4:00 usiku (saa 3:00 kwa saa za Afrika ya Kati) kutokana na kupita kwa Kimbunga Chido, ametangaza mkuu ...
NI simulizi ngumu zilizojaa mateso kwa wanawake wenye tatizo la uvimbe kwenye kizazi (fibroids), wapo ambao wamefanyiwa upasuaji zaidi ya mara tatu lakini tatizo limerejea upya na wengine huishia kuwa ...
Moto huo unaonekana ulisababishwa na mafuta yaliyomwagika kutoka kwenye tenki la mafuta ya kipasha joto hicho pale mfuniko wake ulipofunguka wakati tenki lililojaa mafuta liliporudishwa kwenye ...
ZIMESALIA siku chache tu kabla ya kuumaliuza mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka mpya 2025. Kwenye burudani kuna matukio mengi kama ilivyo kwenye tasnia nyingine kama michezo ambako mengi yametokea mwaka ...
Tulikuandalia ni pamoja na yaliyozungumziwa kwenye mkutano mkuu wa shirikisho la mchezo wa kuendesha magari duniani, FIA nchini Rwanda, uchambuzi wa raundi ya tatu ya mechi za ligi ya mabingwa ...
TAZAMA ulimwengu wanafunzi wanaobebwa kwenye bodaboda kwa mtindo wa mishikaki kuwahi shuleni. Huu ni utaratibu wa muda mrefu ambao sasa umechukuliwa kama wa kawaida, huku baadhi wakiishia kupata ...
Chelsea itashuka dimbani kwenye uwanja wa ugenini leo dhidi ya Astana kwenye mchezo wa Europa Conference Ligi ambapo imekuwa na mwendelezo mzuri wa matokeo kwenye michuano hii. Kocha Enzo Maresca ...
Mwanza. Watoto wanne wamefariki dunia katika Kijiji cha Isengwa, Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu wakijaribu kuokoana kwenye dimbwi la maji, baada ya mwenzao kuteleza na kutumbukia wakati wakichota ...