Umoja wa Afrika unashiriki kwa mara ya kwanza katika mkutano huo kama mwanachama baada ya kukubaliwa Septemba 2023. Kualikwa kwa Rais wa Tanzania Samia ni heshima kwa taifa kupata fursa hiyo ambayo ...
na inasemekana kuwa na nafasi muhimu katika utamaduni wa Kijapani. Ujuzi wa kutengeneza sake na vinywaji vingine utakuwa ingizo la 23 la Japani kwenye orodha hiyo.
Walifanikiwa kutuma mawimbi maikro kutoka kwenye ndege iliyo angani hadi ardhini Kampuni ya Japan Space Systems, iliyopewa mradi huo na serikali, ilifanya jaribio la upitishaji umeme wa masafa ...
Polisi nchini Bangladesh wamesema mtu mmoja ameuliwa nchini humo kwenye makabiliano kati ya vikosi vya usalama na wahindu waliokuwa wakiandamana kupinga kukamatwa kwa kiongozi wa kidini.
Mifumo ya ulinzi ya Ukraine ilifanikiwa kuziangusha droni mbili kwenye eneo hilo huku ikiripotiwa kwamba hakuna wahanga wa shambulio hilo japo imeleezwa kwamba makumi ya droni za Urusi ...
LICHA ya kutangulia kwa mabao mawili ndani ya dakika 10 za pambano la Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo, timu ya KenGold imejikuta ikiduwazwa na wageni na kupoteza mchezo huo ikiwa nyumbani kwenye ...
"Ndio tunaweza kuondolewa kwenye mbio ikiwa watashinda mechi yao ya kesho (jana) na ijayo. Kuna sababu nyeti za kupoteza mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu England, jambo la umuhimu kwa sasa ni kujaribu ...
Zinapigwa mechi tatu muhimu kwenye Ligi Kuu Bara ingawa kwa namna yoyote haziwezi kumchomoa aliyeko kileleni. Lakini ni turufu muhimu kwenye mbio za kumi la pili. Azam FC inahitaji ushindi wowote ...
Asubuhi ya Machi 23, 2023, katika kijiji kimoja kilichopo katika eneo la Stavropol kusini mwa Urusi, Dmitry Seliginenko alimchukua mpenzi wake kwenye pikipiki yake hadi ofisi ya serikali ya mtaa ...
Bado haijafahamika rasmi ni chakula gani hasa kinachosababisha unyonyokaji wa nywele.Lakini kwa mfano Ni kwa sababu hii tiba nyingi zinazopatikana kwenye soko zinazingatia matokeo yasiyochochea ...
Dar es Salaam. Mauzauza, Ashua, Hakuna Kulala, raha na Wana ni baadhi ya nyimbo za mwanamuziki wa WCB Zuchu zilizomtambulisha kwenye gemu mwaka 2020 baada ya kutambulishwa kwenye lebo hiyo ya muziki.