Umoja wa Afrika unashiriki kwa mara ya kwanza katika mkutano huo kama mwanachama baada ya kukubaliwa Septemba 2023. Kualikwa kwa Rais wa Tanzania Samia ni heshima kwa taifa kupata fursa hiyo ambayo ...
Polisi nchini Bangladesh wamesema mtu mmoja ameuliwa nchini humo kwenye makabiliano kati ya vikosi vya usalama na wahindu waliokuwa wakiandamana kupinga kukamatwa kwa kiongozi wa kidini.
Mifumo ya ulinzi ya Ukraine ilifanikiwa kuziangusha droni mbili kwenye eneo hilo huku ikiripotiwa kwamba hakuna wahanga wa shambulio hilo japo imeleezwa kwamba makumi ya droni za Urusi ...
LICHA ya kutangulia kwa mabao mawili ndani ya dakika 10 za pambano la Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo, timu ya KenGold imejikuta ikiduwazwa na wageni na kupoteza mchezo huo ikiwa nyumbani kwenye ...
"Ndio tunaweza kuondolewa kwenye mbio ikiwa watashinda mechi yao ya kesho (jana) na ijayo. Kuna sababu nyeti za kupoteza mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu England, jambo la umuhimu kwa sasa ni kujaribu ...
Zinapigwa mechi tatu muhimu kwenye Ligi Kuu Bara ingawa kwa namna yoyote haziwezi kumchomoa aliyeko kileleni. Lakini ni turufu muhimu kwenye mbio za kumi la pili. Azam FC inahitaji ushindi wowote ...
Dar es Salaam. Mauzauza, Ashua, Hakuna Kulala, raha na Wana ni baadhi ya nyimbo za mwanamuziki wa WCB Zuchu zilizomtambulisha kwenye gemu mwaka 2020 baada ya kutambulishwa kwenye lebo hiyo ya muziki.
Kwa mujibu wa Waziri Mkuu, vivutio hivyo ni kupunguza ulipaji mrabaha kutoka asilimia 6 hadi nne, kupunguza ada ya ukaguzi kutoka asilimia moja hadi sifuri na kuondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) ...
Nasa inapojiandaa kupeleka kizazi kipya cha wanaanga kwenye Ncha ya Kusini ya Mwezi, huenda ikapata seti nyingine ya nyayo zinazoashiria alama yake isiyofutika katika ziara yake mwezini.
Nasa imechagua kampuni ya Elon Musk ya SpaceX kutengeneza chombo kitakachomrejesha binadamu kwenye mwezi mwongo huu. Chombo hicho kitambeba mwanadamu atakayefuata na mwanamke wa kwanza hadi kwenda ...