Inyuruzwa rya Abdul Nondo ryabaye inyuma y'aho mu kw'icenda umutegetsi wo hejuru w'umugambwe CHADEMA utavuga rumwe n'uwuri ku ...
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Tanzania na Umoja wa Ulaya zimekubaliana kuongeza upatikanaji wa masoko ya umoja huo kwa bidhaa za Tanzania na kuvutia uwekezaji ...
Abdirahman Mohamed Abdullahi, maarufu kama "Irro", ameshinda ... kiongozi wa chama cha Social Justice Party (UCID) Faysal Ali Warabe akipata asilimia 0.74 kwa mujibu wa mwenyekiti wa tume ya ...
KOCHA wa Kagera Sugar, Melis Medo, ameweka wazi kuwa anaona dalili za maendeleo katika kikosi chake baada ya kuvuna pointi tano katika michezo minne ya hivi karibuni ya Ligi Kuu Bara. Medo ...
Kimya mpaka leo. Septemba 7, 2024, mjumbe wa sekretarieti ya Chadema, Ali Kibao, alichukuliwa na watu wasiojulikana, alipokuwa kwenye basi, akisafiri kutokea Dar es Salaam kwenda Tanga. Kibao, ...
Dar/mikoani. Inasubiriwa atekwe nani ili hatua zichukuliwe? Ndilo swali wanalojiuliza wengi kuhusu giza lililogubika mwenendo wa uchunguzi wa matukio ya utekaji na kutoweka kwa raia yanayofanywa na ...
LOS ANGELES, MAREKANI: NYOTA wa muziki na filamu, Jennifer Lopez amefichua ana mambo mengi kichwani mwake, kubwa ni kulea watoto wake kama single mother. Mrembo huyo aliyetamba kwenye nyimbo nyingi ...
Abdullah Mohammed, 19, alipiga kura kwa mara ya kwanza katika wilaya ya Nima ya Accra. Anakiri kunufaika na sera ya elimu bila malipo inayoongozwa na Nana Akufo-Addo, lakini anasubiri "rais ...
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Khamis Hamza Khamis akiwasilisha taarifa kwenye Mkutano wa 16 wa Mkataba wa kukabiliana na kuenea kwa Jangwa (COP16) unaofanyika Riyadh ...