LIVERPOOL, ENGLAND: MKATABA wa staa wa Liverpool, Mohamed Salah unatarajiwa kumalizika mwisho wa msimu huu na hivi karibuni ... Hadi sasa haijajulikana ikiwa Liverpool itampa ofa ya mkataba mpya au ...
Wakati Jeshi la Polisi likiendelea na uchunguzi wa tukio la kutaka ‘kutekwa’ kwa mfanyabiashara, Deogratius Tarimo, mijadala imeibuka juu ya hali ilivyokuwa na kuibua maswali kibao. Tukio hilo ...