EFCC iliyoanzishwa mwaka 2003 ili kupambana na rushwa, haijafichua ni nani hasa mmiliki wa ardhi na nyumba hizo za kifahari, lakini taarifa inasema ni za afisa wa zamani wa ngazi za juu serikalini.
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesisitiza Watanzania kuendelea kudumisha amani sambamba na kutumia nyumba za ibada kuhamasisha na kutoa mafundisho ya dini yatakayodumisha ...
Dar es Salaam. Onyo la Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA) kwa wamiliki wa nyumba zinazohusishwa na dawa hizo haramu limeibua mjadala wa umuhimu wa wananchi kufuatilia ...
Wasanii wa Muziki wa kizazi kipya wanaochipukia nchini Tanzania walalama kutakwa Kimapenzi wa Watayarishaji wa Muziki, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akiwa na Zainisha ...
Hata hivyo, Faris amewashukuru pia wadau mbalimbali waliyowezesha fedha kuhakikisha ujenzi wa nyumba hiyo unafanikiwa na kuahidi kuwa watakuwa bega kwa bega na mama huyo. Watu wawili Ali Ramadhani (20 ...
Maelfu wamejeruhiwa na nyumba za makumi ya maelfu ya wengine zimeharibiwa. Lakini nchini Israeli, wengine wanahisi wamepoteza fursa ya kutekeleza uharibifu zaidi kwa Hezbollah. Waziri mkuu ...
NAMIBIA : NCHINI Namibia wananchi wanajiandaa kupata rais wa kwanza mwanamke huku theluthi mbili ya kura za uchaguzi zikiendelea kuhesabiwa na kumuweka mgombea wa chama tawala cha SWAPO kifua mbele ...