STRAIKA nyota wa Singida Black Stars, Elvis Rupia mchana huu ametupia mbaoa mawili wakati timu hiyo ikiinyoa Dodoma Jiji 2-1 ...
Dodoma Jiji inakuwa timu ya pili Ligi Kuu kuondoshwa katika Kombe la Shirikisho ikifungwa ... KIKOSI cha Yanga ambacho juzi usiku kilipoteza tena mechi ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa ...
KIKOSI cha Azam FC leo kinatarajiwa kushuka kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma kucheza dhidi ya wenyeji wao Dodoma Jiji, katika mchezo wa raundi ya 13 ya Ligi Kuu Tanzania Bara, ambapo kama ikifanikiwa ...
WAKATI zikiwa zimesimama kwa muda kucheza mechi za Ligi Kuu wiki hii kutokana na kuwa na majukumu ya mechi za kimataifa, ...
Mwaka 2024 unakwenda ukingoni, ukiangalia mshikemshike wa Ligi Kuu Bara umekuwa na mambo mengi. Katika kipindi cha mwaka ...