DAR ES SALAAM – YANGA leo itakuwa ugenini kuikabili Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ... tunamsikiliza mwalimu na kujituma kwa dhati ili kuhakikisha tunapata matokeo mazuri. SOMA: ...
MECHI nne za raundi ya tatu Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara zinapigwa leo viwanja tofauti. Bingwa mtetezi Simba Queens ipo ugenini dhidi ya Ceasiaa Queens kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa.
Huo utakuwa ni mtihani wa kwanza wa Kocha Sead Ramovic raia wa Ujerumani tangu akabidhiwe kikosi hicho Novemba 15 mwaka huu akichukua nafasi ya Miguel Gamondi ambaye msimu uliopita aliiwezesha Yanga ...
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye mechi za kimataifa, Yanga na Simba zimeonekana kukwepana kwenda pamoja nchini Algeria ... thabiti na kufanya maboresho ndani ya klabu yetu akishirikiana na viongozi ...
Klabu za Simba n Yanga zimetoa pole kwa familia, ndugu, Bunge la Tanzania, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha aliyekuwa mbunge wa Kigamboni Dk Faustine Ndugulile kilichotokea leo Novemba 27, nchini ...
Vigogo waliowahi kushika nyadhifa mbalimbali kwenye timu za Simba na Yanga kwa nyakati tofauti wametangazwa na Singida Black Stars kushika ... Wakati ACT-Wazalendo ikisema mwenyekiti wa Ngome ya ...
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital KAMPUNI namba moja ya michezo ya kubashiri nchini Betika imezindua rasmi Kampeni yake kubwa ya "Mtoko wa Kibingwa" kwa Msimu ...