Ramovic raia wa Ujerumani anapewa nafasi kubwa ya kuipeleka Yanga katika nchi ya ahadi kutokana na mbinu zake, ujuzi na misimamo kwenye falsafa zake za soka duniani. Hata hivyo, kitendo cha Yanga ...
Jeshi la Polisi linawashikilia kwa mahojiano ya kina Diva Malinzi (36) na Jenifer Jovin (25) maarufu Niffer kwa tuhuma za kuchangisha fedha kwa ajili ya walioporomokewa na ghorofa eneo la Kariakoo.
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi linawashikilia kwa mahojiano ya kina Diva Malinzi (36) na Jenifer Jovin (25) maarufu Niffer kwa tuhuma za kuchangisha fedha kwa ajili ya walioporomokewa na ghorofa eneo ...