Ramovic raia wa Ujerumani anapewa nafasi kubwa ya kuipeleka Yanga katika nchi ya ahadi kutokana na mbinu zake, ujuzi na misimamo kwenye falsafa zake za soka duniani. Hata hivyo, kitendo cha Yanga ...
Jeshi la Polisi linawashikilia kwa mahojiano ya kina Diva Malinzi (36) na Jenifer Jovin (25) maarufu Niffer kwa tuhuma za kuchangisha fedha kwa ajili ya walioporomokewa na ghorofa eneo la Kariakoo.
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi linawashikilia kwa mahojiano ya kina Diva Malinzi (36) na Jenifer Jovin (25) maarufu Niffer kwa tuhuma za kuchangisha fedha kwa ajili ya walioporomokewa na ghorofa eneo ...
Klabu ya Yanga imemfuta kazi Kocha Mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi leo Ijumaa Novemba 15, 2024. Taarifa ya kufutwa kazi kwa makocha hao imetolewa na Ofisi ya Mtendaji Mkuu wa Yanga ikisema: “Uongozi ...
Kati ya vitu hivyo, viwili kati yake, manukato na dhahabu vinatumiwa kwa matibabu na mwanasayansi wa Chuo kikuu cha Cardiff nchini Uingereza Dkt. Ahmed Ali ambaye anavifanyia utafiti. Chanzo cha ...