Ofisa Mtendaji Mkuu wa Alaf Limited, Ashish Mistry ameishukuru kamati hiyo kwa kutenga muda wa kuwatembelea na kuwahakikishia kuwa kiwanda kipya cha mabati ya rangi kitaanza uzalishaji mwezi ujao.
Tuzo hii inadhaminiwa na kampuni ya Mabati Rolling Mills, Kenya, na kampuni ya ALAF Limited, Tanzania na pia Ofisi ya Makamu wa Mkuu wa Masuala ya Kimataifa katika Chuo Kikuu cha Cornell ...