WAKUU wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) jana walikutana jijini hapa kujadiliana mambo mbalimbali muhimu kuhusu ushirikiano na maendeleo baina yao. Miongoni mwa mambo waliyojadiliana ni kuon ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF nchini Tanzania umewajumuisha watoto kwenye harakati za kukabiliana na kuhimili madhara ya mabadiliko ya tabianchi.