MABINGWA wa Kombe la Mapinduzi 2024, Mlandege jana imeonja ushindi wa kwanza katika Ligi Kuu Zanzibar kwa msimu huu baada ya kuinyoa Mafunzo kwa bao 1-0 kwenye Uwanja wa Amaan kwa Wazee mjini ...
BBC Verify imekuwa ikichambua video na picha kutoka mitandao ya kijamii kutoka Moscow ili kujaribu kupata uhalisia wa picha wazi zaidi ya mlipuko uliomuua Jenerali Luteni Igor Kirillov wa Urusi na ...
Akiwa anasafisha nyumba ya mamake, alishangaa kupata cheti cha kuzaliwa. Jina la Tamuna liliandikwa kwenye nyaraka hiyo, lakini tarehe yake ya kuzaliwa haikuwa sahihi. Hii ilimfanya ashuku kuwa ...
Ripotiinadokeza kuwa mwaka 2022 wafanyakazi wahamiaji milioni 167.7 walikuwa sehemu ya nguvu kazi ya nchi walizohamia na kati yao hao milioni 102.7 walikuwa wanaume na milioni 64.9 walikuwa ...
Watu wanaoshawishiwa kupitia matangazo ya kazi kwenye mitandao ya kijamii wanaelekezwa kushiriki katika ujambazi na uhalifu mwingine. NHK imefanya mahojiano na baadhi ya watuhumiwa wenye kesi kwa ...
Visiwa vya Mayotte vitawekwa kwenye tahadhari nyekundu kufuatia kimbunga siku ya Ijumaa saa 4:00 usiku (saa 3:00 kwa saa za Afrika ya Kati) kutokana na kupita kwa Kimbunga Chido, ametangaza mkuu ...
Pedersen leo amesema “Picha kutoka kwenye magereza ya Sednaya na vituo vingine vya kizuizini nchini Syria vinadhihirisha unyama na ukatili usiofikirika ambao Wasyria wamevumilia na umekuwa ukiripotiwa ...
Zamani jamii mbalimbali ziliishi kwenye mafundisho na makatazo mbalimbali yaliyolenga kujenga umoja wa jamii, kulinda maadili, kutunza usafi na kulinda mazingira. Dar es Salaam. Aliyekuwa Padri wa ...
Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu amesema ameshapeleka ushahidi kuhusu madai ya rushwa ndani ya chama hicho kwenye vikao halali, hivyo anatarajia utekelezaji. Lissu ...
Umoja wa Afrika unashiriki kwa mara ya kwanza katika mkutano huo kama mwanachama baada ya kukubaliwa Septemba 2023. Kualikwa kwa Rais wa Tanzania Samia ni heshima kwa taifa kupata fursa hiyo ambayo ...
Tulikuandalia ni pamoja na yaliyozungumziwa kwenye mkutano mkuu wa shirikisho la mchezo wa kuendesha magari duniani, FIA nchini Rwanda, uchambuzi wa raundi ya tatu ya mechi za ligi ya mabingwa ...
NI simulizi ngumu zilizojaa mateso kwa wanawake wenye tatizo la uvimbe kwenye kizazi (fibroids), wapo ambao wamefanyiwa upasuaji zaidi ya mara tatu lakini tatizo limerejea upya na wengine huishia kuwa ...