Na Nora Damian, Mtanzania Digital Tanzania na Umoja wa Ulaya zimekubaliana kuongeza upatikanaji wa masoko ya umoja huo kwa bidhaa za Tanzania na kuvutia uwekezaji ...
Kiongozi wa waasi nchini Syria Abu Mohammed al-Jawlani ametupilia mbali jina la kivita lililohusishwa na maisha yake ya zamani ya kijihadi, na amekuwa akitumia jina lake halisi, Ahmed al-Sharaa ...
Deusdedith Soka, Jacob Mlay, Frank Mbise, kutaja wachache, walitoweka tangu Agosti 2024. Jitihada za kuwafikia watekaji hazitoi matumaini. Septemba 2024, mjumbe wa Sekretarieti ya Chadema, Ali Kibao, ...
LOS ANGELES, MAREKANI: LICHA ya Los Angeles kuanza kwa kufanya vibaya msimu huu, kati ya majina ambayo yameendelea kuonekana katika takwimu mbalimbali ni Anthony Davis 'AD' aliyedumu katika kikosi cha ...
Je, tatizo ni nini na nani tumwajibishe? Je, tujiwajibishe wote kama kaya kwa vile tumeshindwa kweli au... Profesa Mohamed Yakub Janabi ni Ofisa Mkuu Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ...