Mataifa ya kiarabu yamelaani vikali matamshi yenye utata yaliyotolewa na Msemaji wa zamani wa chama tawala nchini India BJP Nupur Sharma kumuhusu Mtume Muhammad, kulingana na mitandao ya kijamii ...