Kuna mjadala mgumu kuhusu iwapo aina yoyote ya taswira ya Mtume Muhammad, hata ile inayoheshimika zaidi, imeharamishwa katika Uislamu.Kwa Waislamu wengi, ni jambo lisilo na shaka; hairuhusiwi ...