Hayo ameyasema wakati akizungumza na Mwananchi na kuongezea kuwa msanii kuoa siyo kikwazo cha kushindwa kufanya vizuri kwenye muziki "Kwangu sidhani kama kuna haja ya kuwa muoga kwenye hili, sababu ...
Mbali na kutajwa kuwa msanii anayesikilizwa zaidi lakini pia nyimbo zake mbili zimeripotiwa kusikilizwa zaidi ikiwemo Siji aliyomshirikisha Toss na Zawadi aliyomshirikisha Dadiposlim. Lakini lilitokea ...