Iwapo Simba itashinda mchezo wa kesho itafikisha pointi 25 na kukwea hadi kileleni mwa msimamo huku ikisubiri mchezo wa Alhamisi ijayo, ambao watani zao wa jadi, Yanga wenye pointi 22, watakapocheza ...
Simba yenye pointi 22, ikiwa nafasi ya tatu ya msimamo, itafikisha pointi 25 kama ikipata ushindi leo na kuishusha Yanga inayoongoza kwa pointi 24, ambayo nayo itasubiri mchezo wake wa kesho dhidi ya ...
Simba Queens imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya mtani wake wa jadi, Yanga Princess ... huo uliotolewa leo Ijumaa Novemba 29, 2024, TMA imeeleza matarajio ya hali mbaya ya hewa kwa siku tano ...
Simba na Yanga ndiyo timu zilizofanya vizuri zaidi hadi sasa kwenye Ligi Kuu Bara. Hata ukiangalia msimamo wa ligi utakubaliana na hilo kutokana na namna nafasi wanazoshika zikitofautiana pointi moja ...
Katika Ligi ya Mabingwa, Yanga imepangwa Kundi A na Al Hilal ya Sudan, MC Alger (Algeria) na TP Mazembe ya DR Congo. Yanga iliyocheza michezo 10, imeshinda minane na kupoteza miwili ikiwa nafasi ya ...
LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa mchezo mmoja kufanyika Dar es Salaam. Klabu ya Simba itakuwa wenyeji wa KMC kwenye uwanja wa KMC Complex, Mwenge Manispaa ya Kinondoni. Simba ipo nafasi ya ...
MECHI nne za raundi ya tatu Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara zinapigwa leo viwanja tofauti. Bingwa mtetezi Simba Queens ipo ugenini dhidi ya Ceasiaa Queens kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa.
Vigogo waliowahi kushika nyadhifa mbalimbali kwenye timu za Simba na Yanga kwa nyakati tofauti wametangazwa na Singida Black Stars kushika ... Wakati ACT-Wazalendo ikisema mwenyekiti wa Ngome ya ...
Chanzo cha picha, google images Katika mechi zilizochezwa hapo jana Simba ilitoka sare ya kufungana mabao 3-3 na Toto Africa, Yanga ikaicharaza ... Ligi hiyo inaendelea hii leo na mechi moja.