Alisema hayo jana katika ibada ya maziko ya Isaack Mallya, ambaye ni kaka wa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Patrick Boisafi, aliyeuawa kikatili kwa kucharangwa mapanga ...