na kura hii ya Seneti ilifanyika baada ya uchaguzi wa nusu muhula. Toleo la wali la muswada huo liliidhinishwa na Bunge la Wawakilishi mapema mwaka hu una baadhi ya Warepublicans mwaka huu.
Makubaliano ya wali ya kampuni hiyo kujenga kituo kama hicho nchini Afrika Kusini yalikataliwa na mahakama ya taifa hilo mapema mwaka huu. Makubaliano hayo nchini Nigeria yaliafikiwa baada ya muda ...